Baada ya Lema kukaa mahabusu siku saba, leo amefikishwa mahakamani.

Mbunge wa Arusha Mjini Godbles Lema ambaye alishtakiwa kwa kosa la kutoa maneno ya uchochezi dhidi ya viongozi wa serikali, leo November 8 amefikishwa mahakama ya hakimu mkazi Arusha na kusomewa shtaka linalomkabili baada ya kukaa mahabusu kwa siku saba. Hakimu mfawidhi wa mahakama ya hakimu mkazi anayesikiliza kesi hiyo Desdery Kamugisha amesema hawezi kutolea…

via Baada ya Lema kukaa mahabusu siku saba, leo amefikishwa mahakamani — millardayo.com

Ufafanuzi kuhusu taarifa za muswada wa kuondoa posho za watumishi wa umma — razamwalimu.com

Baada ya taarifa kuenea kwamba serikali ina mpango wa kuwasilisha muswada Bungeni utakaowabana watumishi wa umma kwa kupunguza matumizi mbalimbali ya mashirika ya umma ikiwemo kuondoa posho za watumishi wa Umma. Leo November 8 2016 Serikali imetoa tamko lake kupitia akaunti yake rasmi ya twitter ya msemaji wa Serikali kuwa taarifa hizo si za kweli…

via Ufafanuzi kuhusu taarifa za muswada wa kuondoa posho za watumishi wa umma — razamwalimu.com